VIDEO: Tanzanian Women All Stars - Superwoman

Image result for Tanzanian Women All Stars - Superwoman (Official Video)

VIDEO: Tanzanian Women All Stars - Superwoman

Kila mwanamke anastahili kupendwa/Kuthaminiwa na kuheshimiwa; ili uweze kuwepo duniani lazima upitie kwenye LANGO la MWANAMKE.Hakunaga dirisha wala upenyo  mwingine wa kuingia duniani zaidi ya MLANGO WA MWANAMKE.

Mwanamke wewe ni SUPER WOMAN..Wewe ni ALMASI yetu..Wewe ni zaidi samaki mtamu kuliko wooote baharini na ziwani...
Wewe ni TWIGA katika msitu mnene.Urefu wako unakufanya uone kesho yetu na kutuongoza njia tusipotee.
Wewe ni zaidi ya kiporo cha ubwabwa na maharage na chai ya rangi.

Wewe ndio kioo cha jamiii na bila wewe hakuna JAMII.

SISI tunakupenda/Tunakuheshimu na KUKUTHAMINI...Ndio maana tumasema.Ahsante mwanamke #You are a SUPER WOMAN.Post a Comment

0 Comments